Banner-Image

Mbona Mobisol

Bidhaa

product-overviewinfograpic_swa_161215free_graphic_swa_161215


product_basic_part1_swa_161215 product_basic_part2_swa_161215product_premium_part1_swa product_premium_part2_swa

MaswaliBEI NA MALIPO

/ Jinsi gani naweza lipia mtambo wangu?

Malipo yetu yamerahisihwa kwa kutumia M-PESA au Airtel Money. Malipo yetu ni ya Mipango rahisi na huja katika viwango vya bei nafuu,kuruhusu kila mtu kunufaika na mtambo wetu wa Mobisol. Familia wetu walio nje ya Kenya wanaweza kusaidia wapendwa wao nyumbani kwa kutumia mfumo mbalimbali ya malipo. Hakuna haja ya kusubiri au foleni: Mobisol udhamani haraka na malipo rahisi. Tunakuruhusu mkopo wa miezi 36 kwa wateja wetu.

/ Nini hutokea kama siwezi fanya malipo?

Usiwe na wasiwasi. Mobisol inaelewa kuna nyakati ambazao matattizo ya kifedha utokea. Kwa sababau hiyo, sisi huruhusu siku 30 kwa mwaka bila kukulaumu ili uweze kutatua changa moto zako za kifedha.


UFUNGAJI, WARANTI & HUDUMA KWA WATEJA

/ Inachukua Muda mgani ili niweze kupata Mtambo wangu?

Unapofanya uamuzi wako wa kufaidika na mtambo wa Mobisol,timu yetu ya mauzo watakuhimiza ujaze fomu ya kufuzu ya mteja. Utahitajika kuwa na Title deed na Kitambulisho chako,iwendapo hauna stakabadhi hizo,jamaa yako wanaweza kukusimamia.Unapofuzu,mtambo wako itatayarishwa na mmoja wa wafanyikazi wetu wa ufundi na itakuwa tayari kuchukuliwa kutoka kwenye duka la mobisol iliyo karibu nawe.

/ Nini hutokea kama mtambo wangu haufanyi kazi?

Inapotokea mtambo wako haufanyi kazi,unaweza wasiliana na customer care yetu kupitia namabari ya Bure 0800 755 000. Tuna Fahari ya kusema kuwa matattizo asilimia 98 yameweza kutatuliwa kupitia simu.Ijapukuwa, tatizo lako isipoweza kutatuliwa mara moja, mobisol itapanga mkutano na mmoja wa mfunzi wetu, ili waweze kuja nyumbani kwako kukutatulia shida ya mtambo bila Malipo.

/ Je mtambo wangu na vifaa huja na warranty?

Mobisol ukupa warranty wa miaka 3 kwa mtambo wetu (Kontrola,betri na panel) na warranty wa mwaka 1 kwa vifaa vingine.Pia Mobisol hutoa Bure huduma ya customer care kupitia nambari yetu 0800 755 000, na pia msaada wa kiufundi. Tunafahari ya kukudhibitishia wewe mteja wetu mtambo bora na uhandisi wa Ujerumani. Tuajali wateja wetu.


UMILIKI NA UTUMIZI

/ Je, nitamiliki mwambo wangu nikishamaliza kuilipia?

Ndiyo. Kodi-kumiliki ina maana kuwa baada ya kuilipia kikamilifu mtambo wako wa Sola ya Mobisol ,itakuwa imeshamaliza kulipiwa na ni yako bila malipo nyingine.Pia baada ya miaka 3 utapewa cheti chako cha umiliki na kuaga kwaheri bili za umeme milele.

/ Ninawezaje kufaidika na matumizi bora ya mtambo wangu wa Mobisol?

Mobisol inapenda kuwawezesha wateja wake: Unahimizwa kuwa mwanabiashara kwa kutumia Mobisol kwa kuchaji simu za jirani wako,pia sisi ulipa wateja wetu Ksh.1000 wanapo pendekeza mtambo wetu kwa mteja mpya.


Career

Installation Technicians (m/f)

The position holder is responsible for providing Mobisol customers with the best possible after sales service

[ READ MORE ... ]

Credit Assessment Officer (m/f)

With a strong background in customer relationship management
Location: Kakamega Region, Western Kenya

[ READ MORE ...]

Sales Agent (m/f)

With a strong background in customer service and sales expierence on the ground
Location: Kakamega, Western Kenya

[ READ MORE...]

Loan Field Officers (m/f)

Location: based in Northern Rift and/or Western Kenya

[ READ MORE...]

Development & Expansion Officer (m/f)

Location: Kakamega Region, Nairobi, Kenya

[ READ MORE...]

Management Accountant (m/f)

With a strong background in accounting and finance, a hands-on attitude combined with attention to detail.
Location: Nairobi, Kenya

[ READ MORE...]

Procurement and Contracts Coordinator (m/f)

Location: Nairobi, Kenya

[ READ MORE...]

Data Analyst (m/f)

With a strong background in data analysis, a hands-on attitude combined with attention to detail
Location:Location: Nairobi, Kenya

[ READ MORE...]

Sales Agent Coordinator (m/f)

With a strong background in sales, a hands-on attitude combined with attention to detail
Location: Nairobi, Kenya

[ READ MORE...]

Mawasiliano


 

 

0800 755 000 Bure

jambo@mobisolkenya.co.ke

 

twitterfacebookinstagram